
Nafasi 126 Za Kazi MSAIDIZI WA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS ASSISTANT GRADE II)
Nafasi 126 Za Kazi MSAIDIZI WA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS ASSISTANT GRADE II) MAJUKUMU YA KAZI Kuandika na kutunza “register” zinazohusu shughuli za uhasibu; Kutunza kumbukumbu za hesabu; Kupeleka barua/nyaraka za uhasibu Benki; na Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa SIFA ZA MWOMBAJI Kuajiriwa wenye Cheti cha Astashahada ya…