Nafasi 3 Za Kazi AFISA UKUZAJI VIUMBE KWENYE MAJI DARAJA LA II (AQUACULTURE OFFICER GRADE II)

Nafasi 3 Za Kazi AFISA UKUZAJI VIUMBE KWENYE MAJI DARAJA LA II (AQUACULTURE OFFICER GRADE II) MAJUKUMU YA KAZI Kutekeleza Sheria na Kanuni zinazohusiana na kuendeleza ukuzaji viumbe kwenye maji; Kuhimiza Ukuzaji endelevu wanaokuzwa kwenye maji; Kuhamasisha njia bora za uvunaji na uhifadhi wa mazao yatokanayo viumbe wanaokuzwa kwenye maji; Kuendesha mafunzo ya ukuzaji viumbe…

Read More

Nafasi 15 Za Kazi FUNDI SANIFU DARAJA LA II – KILIMO (AGRICULTURAL TECHNICIAN GRADE II)

Nafasi 15 Za Kazi FUNDI SANIFU DARAJA LA II – KILIMO (AGRICULTURAL TECHNICIAN GRADE II) MAJUKUMU YA KAZI i.Kutoa ushauri ka wakulima kuhusu matumizi bora ya zana za kilimo; ii.Kuwafundisha wakulima kutengeneza na kufanya matengenezo ya zana za kilimo; iii.Kuendeleza kilimo cha zana; Kukusanya na kutunza takwimu za kilimo cha umwagiliaji; v.Kusaidia katika ujenzi wa…

Read More

Nafasi 73 Za Kazi MKUFUNZI DARAJA LA II- KILIMO (AGRICULTURAL OFFICER GRADE II)

Nafasi 73 Za Kazi MKUFUNZI DARAJA LA II- KILIMO (AGRICULTURAL OFFICER GRADE II), MAJUKUMU YA KAZI Kufundisha somo la kilimo katika vyuo vya maendeleo ya Kutayarisha mpango wa kazi wa Mafunzo Kupima Maendeleo ya Wanachuo katika nadharia na vitendo Kutunza vifaa vya kufundishia Kufanya na kutoa taarifa za Utafiti Kutoa Ushauri wa kitaalam Kuandaaa kanuni…

Read More

Nafasi 76 AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA III (AGRICULTURAL FIELD OFFICERS)

Nafasi 76 AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA III (AGRICULTURAL FIELD OFFICERS) MAJUKUMU YA KAZI Kushirikiana na wakulima kuendesha mashamba ya majaribio na mashamba darasa, Kutembelea wakulima/vikundi vya wakulima katika mashamba yao na kutoa ushauri wa kitaalamu juu ya mbinu bora na za kisasa za kilimo cha kibiashara, Kufundisha na kuelekeza wakulima juu ya matumizi bora…

Read More

Nafasi 292 AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA II (AGRICULTURAL FIELD OFFICERS)

Nafasi 292 AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA II (AGRICULTURAL FIELD OFFICERS) MAJUKUMU YA KAZI Kushirikiana na watafiti kuendesha vishamba vya majaribio, Kukusanya/kuhifadhi takwimu za majaribio, Kuwafundisha wakulima mbinu za kilimo bora, Kuwafikishia wakulima matokeo ya utafiti, Kuwafundisha wakulima mbinu bora za kilimo, matumizi ya mbolea na madawa, pembejeo za kilimo, Kukusanya na kutunza takwimu za…

Read More

Nafasi 35 Za Kazi AFISA UVUVI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT FISHERIES OFFICER II)

Nafasi 35 Za Kazi AFISA UVUVI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT FISHERIES OFFICER II) MAJUKUMU YA KAZI Kutengeneza, Kushona, Kutunza na Kukarabati zana za Kutunza na kuangalia mabwawa ya Kutega mitego Ziwani au Baharini. iv.Kutengeneza nyavu ndogo ndogo. Kuwapa chakula samaki katika Kuvua samaki katika Kutoa ushauri kwa wavuvi kuhusu mbinu mbalimbali za uvuvi. viii.Kukusanya…

Read More

Nafasi 24 Za Kazi MHANDISI KILIMO DARAJA LA II (AGRO ENGINEERS)

MHANDISI KILIMO DARAJA LA II (AGRO ENGINEERS) – Nafasi 24 MAJUKUMU YA KAZI Kuandaa program za mafunzo kwa wakulima kutumia zana za kilimo, Kushiriki katika kufundisha wakulima na matumizi bora ya zana, Kushiriki kutengeneza michoro/ramani za umwagiliaji, Kushiriki katika ujenzi wa miradi ya umwagiliaji, Kushirikiana na mafundi sanifu kuwafunindisha wakulima uendeshaji wa skimu za umwagiliaji,…

Read More

Nafasi 224 Za Kazi AFISA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS OFFICER II)

Nafasi 224 Za Kazi AFISA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS OFFICER II) MAJUKUMU YA KAZI Kushiriki kuandaa taarifa ya mapato na matumizi; Kushiriki kuandaa taarifa za maduhuli; Kushiriki kufanya usuluhisho wa hesabu za benki na nyingine zinazohusiana na masuala ya fedha; Kuandaa taarifa mbalimbali za mishahara; Kundika hati za malipo na hati za mapokezi; Kutunza…

Read More

Nafasi 32 Za Kazi AFISA TAWALA DARAJA LA II (ADMINISTRATIVE OFFICER GRADE II) 

Nafasi 32 Za Kazi AFISA TAWALA DARAJA LA II (ADMINISTRATIVE OFFICER GRADE II) MAJUKUMU YA KAZI Kutoa mapendekezo kuhusu utekelezaji wa Sheria, Sera, Kanuni na Taratibu mbalimbali zinazotolewa na Serikali; Kutoa mapendekezo kuhusu kazi za utawala na uendeshaji katika Ofisi za Serikali; Kushughulikia masuala ya itifaki mahali pa kazi; Kuweka kumbukumbu za matukio muhimu ya…

Read More

Nafasi 126 Za Kazi MSAIDIZI WA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS ASSISTANT GRADE II) 

Nafasi 126 Za Kazi MSAIDIZI WA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS ASSISTANT GRADE II) MAJUKUMU YA KAZI Kuandika na kutunza “register” zinazohusu shughuli za uhasibu; Kutunza kumbukumbu za hesabu; Kupeleka barua/nyaraka za uhasibu Benki; na Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa SIFA ZA MWOMBAJI Kuajiriwa wenye Cheti cha Astashahada ya…

Read More