
Nafasi 131 Za Kazi MHASIBU DARAJA LA II (ACCOUNTANT GRADE II)
Nafasi 131 Za Kazi MHASIBU DARAJA LA II (ACCOUNTANT GRADE II), MAJUKUMU YA KAZI Kuandika taarifa ya mapato na matumizi; Kuandika taarifa za maduhuli; Kupokea maduhuli ya serikali na kupeleka Benki kwa wakati; Kufanya usuluhisho wa hesabu za Benki na nyingine zinazohusiana na masuala ya fedha; Kukagua hati za malipo; na Kufanya kazi nyingine za…