
Nafasi 24 Za Kazi MHANDISI KILIMO DARAJA LA II (AGRO ENGINEERS)
MHANDISI KILIMO DARAJA LA II (AGRO ENGINEERS) – Nafasi 24 MAJUKUMU YA KAZI Kuandaa program za mafunzo kwa wakulima kutumia zana za kilimo, Kushiriki katika kufundisha wakulima na matumizi bora ya zana, Kushiriki kutengeneza michoro/ramani za umwagiliaji, Kushiriki katika ujenzi wa miradi ya umwagiliaji, Kushirikiana na mafundi sanifu kuwafunindisha wakulima uendeshaji wa skimu za umwagiliaji,…