Nafasi 15 Za Kazi FUNDI SANIFU DARAJA LA II – KILIMO (AGRICULTURAL TECHNICIAN GRADE II)

Nafasi 15 Za Kazi FUNDI SANIFU DARAJA LA II – KILIMO (AGRICULTURAL TECHNICIAN GRADE II) MAJUKUMU YA KAZI i.Kutoa ushauri ka wakulima kuhusu matumizi bora ya zana za kilimo; ii.Kuwafundisha wakulima kutengeneza na kufanya matengenezo ya zana za kilimo; iii.Kuendeleza kilimo cha zana; Kukusanya na kutunza takwimu za kilimo cha umwagiliaji; v.Kusaidia katika ujenzi wa…

Read More