
Nafasi 35 Za Kazi AFISA UVUVI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT FISHERIES OFFICER II)
Nafasi 35 Za Kazi AFISA UVUVI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT FISHERIES OFFICER II) MAJUKUMU YA KAZI Kutengeneza, Kushona, Kutunza na Kukarabati zana za Kutunza na kuangalia mabwawa ya Kutega mitego Ziwani au Baharini. iv.Kutengeneza nyavu ndogo ndogo. Kuwapa chakula samaki katika Kuvua samaki katika Kutoa ushauri kwa wavuvi kuhusu mbinu mbalimbali za uvuvi. viii.Kukusanya…