
Nafasi 32 Za Kazi AFISA TAWALA DARAJA LA II (ADMINISTRATIVE OFFICER GRADE II)
Nafasi 32 Za Kazi AFISA TAWALA DARAJA LA II (ADMINISTRATIVE OFFICER GRADE II) MAJUKUMU YA KAZI Kutoa mapendekezo kuhusu utekelezaji wa Sheria, Sera, Kanuni na Taratibu mbalimbali zinazotolewa na Serikali; Kutoa mapendekezo kuhusu kazi za utawala na uendeshaji katika Ofisi za Serikali; Kushughulikia masuala ya itifaki mahali pa kazi; Kuweka kumbukumbu za matukio muhimu ya…