
Nafasi 76 AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA III (AGRICULTURAL FIELD OFFICERS)
Nafasi 76 AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA III (AGRICULTURAL FIELD OFFICERS) MAJUKUMU YA KAZI Kushirikiana na wakulima kuendesha mashamba ya majaribio na mashamba darasa, Kutembelea wakulima/vikundi vya wakulima katika mashamba yao na kutoa ushauri wa kitaalamu juu ya mbinu bora na za kisasa za kilimo cha kibiashara, Kufundisha na kuelekeza wakulima juu ya matumizi bora…