
Nafasi 1 ya Kazi AFISA UKUZAJI VIUMBE KWENYE MAJI MSAIDIZI DARAJA LA II(ASSISTANT AQUACULTURE OFFICER GRADE II)
Nafasi 1 ya Kazi AFISA UKUZAJI VIUMBE KWENYE MAJI MSAIDIZI DARAJA LA II(ASSISTANT AQUACULTURE OFFICER GRADE II) MAJUKUMU YA KAZI Kuhamasisha kuongeza ubora wa Mazao na ukuzaji viumbe kwenye maji ili kulinda soko na afya ya walaji; Kuwaelimisha wananchi juu ya ufugaji wa Samaki na Kilimo cha mwani na usimamizi endelevu ili kuongeza tija; Kuanisha…