
Nafasi 3 Za Kazi AFISA UKUZAJI VIUMBE KWENYE MAJI DARAJA LA II (AQUACULTURE OFFICER GRADE II)
Nafasi 3 Za Kazi AFISA UKUZAJI VIUMBE KWENYE MAJI DARAJA LA II (AQUACULTURE OFFICER GRADE II) MAJUKUMU YA KAZI Kutekeleza Sheria na Kanuni zinazohusiana na kuendeleza ukuzaji viumbe kwenye maji; Kuhimiza Ukuzaji endelevu wanaokuzwa kwenye maji; Kuhamasisha njia bora za uvunaji na uhifadhi wa mazao yatokanayo viumbe wanaokuzwa kwenye maji; Kuendesha mafunzo ya ukuzaji viumbe…